Mi Amor (feat. Jovial)
Marioo
Mi amor
Te amo
Ohh, baby, mon amor
Hakuna mwingine wa kumsikia
Kwenye masikio yangu
Hakuna mwingine wakumuona
Kwenye macho yangu
Nibebe nibebe
Honey nishushe mahabani
Ah
Nigege nigege
Mie kwako taabani
Heeeeeee mi amor
Mmmmh
Nikwite jina gani baby honey
Mmh
Mon amor
Eeeeh
Mi amor
Mmmh
Nikwite jina gani mahabuba lazizi
Mon amor
Ohh, mon amor
Kimamba on the beats
Hmm
Yeah
Hey, yeah
Baby, hey
Moyoni ulivyo ni kaa never seen before
Unavyo nipa never seen before
Wengine wa nini
Hooo la la la la la laa
Never seen before
Tuwe wote mpaka kifo
Madunga embe wa nini
Hoo la la la la la la laa
Kwenye joto nipepee
Kwa baridi nikumbate
Kwenye mvua nikinge
Uwe mwamvuli
Nibebe nibebe honey
Nishushe mahabani
Nigege nigege
Mi kwako taabani
Eeh
Mi amor
Nikwite jina gani baby honey
Mmh
Mon amor
Eeh
Mi amor
Nikwite jina gani mahabuba lazizi
Mon amor
Ooh, mon amor