Huyu Yesu (feat. Angel Benard)

Mercy Masika Mercy Masika

Hallelujah, onho
Huyu yesu si sanamu, si mwanadamu adanganye
Ahadi zake zote kweli na amina nimemuona
Na akisema ndio, hakuna wa kumpinga
Akikubariki, hakuna wakunyang'anya
Akiku ahidi, kwa wakati atimiza
Anavyokuita, ndivyo ulivyo

Huyu yesu, huyu yesu, si hadithi mwambie
Huyu yesu, huyu yesu, si hadithi mwambie
Unatangaziwa nini, umetabiriwa nini maishani mwako mwambie
Unaumizwa na nini, je unahofu gani maishani mwako
Mwambie

Na akisema ndio, hakuna wa kumpinga
Akikubariki, hakuna wakunyang'anya
Akiku ahidi, kwa wakati atimiza
Anavyokuita, ndivyo ulivyo
Huyu yesu, huyu yesu, si hadithi mwambie
Onho mwambie enhe

  1. Huyu Yesu (feat. Angel Benard)
View all Mercy Masika songs

Most popular topics in Mercy Masika songs

Related artists

  1. Villancicos
    Villancicos
  2. Marcos Brunet
    Marcos Brunet
  3. Marcos Witt
    Marcos Witt
  4. Marco Barrientos
    Marco Barrientos
  5. Oasis Ministry
    Oasis Ministry
  6. Ingrid Rosario
    Ingrid Rosario
  7. Averly Morillo
    Averly Morillo
  8. Elevation Worship
    Elevation Worship